Ni sababu gani inatufanya wanaume tushindwe kujizuia kuangalia makalio ya wanawake?

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
32,378
Reaction score
29,739
Habarini,
Hii kitu kwa kweli nashindwa elewa ni ya kibayolojia au ni kujiendekeza. Kila mwanamke atakayepita ni lazima akishapita tutageuka kuangalia mzigo eidha moja kwa moja au kwa kujificha.
Nipo moroko kituo cha mwendokasi nimeketi nikisubiri usafiri na watu wa aina tofauti wanapitapita na nimejaribu kujiambia ngoja nisiangalie makalio ya wanawake wanaopita.
Nafsi haitaki ila macho yanataka, na mwisho wa siku macho yanashinda vita.
Hatari sana.
Wanawake, mnatakiwa mjue kuwa kila unapopita na kupishana na mwanaume, asilimia kubwa ya wanaume watakuangalia makalio yako baada ya wewe kupita.
 
Mi nahisi macho hayana pazia pengi ndo mana unashindwa kujizuia.
 
Huu ni mtihani mkubwa sana hasa kwa sisi tulio kwenye mfungo...

Ni ngumu sana mwanamke akupite bila kuaangalia zile neema za ALLAH alizompa kule nyuma.

Sijui tufanyaje kwa kweli ili tuweze kuliepuka hili. Siku moja nilielekeza side mirror ya gari kwa dada mmoja hivi alikuwa amesimama basi kwa kusudi nikaibenjua ili nisishtukiwe kama namuangalia direct.
 
Habarini,
Hii kitu kwa kweli nashindwa elewa ni ya kibayolojia au ni kujiendekeza. Kila mwanamke atakayepita ni lazima akishapita tutageuka kuangalia mzigo eidha moja kwa moja au kwa kujificha.
Nipo moroko kituo cha mwendokasi nimeketi nikisubiri usafiri na watu wa aina tofauti wanapitapita na nimejaribu kujiambia ngoja nisiangalie makalio ya wanawake wanaopita.
Nafsi haitaki ila macho yanataka, na mwisho wa siku macho yanashinda vita.
Hatari sana.
Wanawake, mnatakiwa mjue kuwa kila unapopita na kupishana na mwanaume, asilimia kubwa ya wanaume watakuangalia makalio yako baada ya wewe kupita.
Yaani Mungu ataendelea kuwa fundi mkuu wangu milele. Eee Mungu mumba wa vyote ulimchelewesha eva wapi siku zote hizi maana hakika huyu kiumbe ni zaidi ya ua.
 
Back
Top Bottom