barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mi nahisi macho hayana pazia pengi ndo mana unashindwa kujizuia.Habarini,
Hii kitu kwa kweli nashindwa elewa ni ya kibayolojia au ni kujiendekeza. Kila mwanamke atakayepita ni lazima akishapita tutageuka kuangalia mzigo eidha moja kwa moja au kwa kujificha.
Nipo moroko kituo cha mwendokasi nimeketi nikisubiri usafiri na watu wa aina tofauti wanapitapita na nimejaribu kujiambia ngoja nisiangalie makalio ya wanawake wanaopita.
Nafsi haitaki ila macho yanataka, na mwisho wa siku macho yanashinda vita.
Hatari sana.
Wanawake, mnatakiwa mjue kuwa kila unapopita na kupishana na mwanaume, asilimia kubwa ya wanaume watakuangalia makalio yako baada ya wewe kupita.
Yaani Mungu ataendelea kuwa fundi mkuu wangu milele. Eee Mungu mumba wa vyote ulimchelewesha eva wapi siku zote hizi maana hakika huyu kiumbe ni zaidi ya ua.Habarini,
Hii kitu kwa kweli nashindwa elewa ni ya kibayolojia au ni kujiendekeza. Kila mwanamke atakayepita ni lazima akishapita tutageuka kuangalia mzigo eidha moja kwa moja au kwa kujificha.
Nipo moroko kituo cha mwendokasi nimeketi nikisubiri usafiri na watu wa aina tofauti wanapitapita na nimejaribu kujiambia ngoja nisiangalie makalio ya wanawake wanaopita.
Nafsi haitaki ila macho yanataka, na mwisho wa siku macho yanashinda vita.
Hatari sana.
Wanawake, mnatakiwa mjue kuwa kila unapopita na kupishana na mwanaume, asilimia kubwa ya wanaume watakuangalia makalio yako baada ya wewe kupita.
Mkuu ata we c unayo sa unangaliaje ya wenziomtikisiko mkuu hata mi huwa naangalia sana tu
Mkuu me sinaMkuu ata we c unayo sa unangaliaje ya wenzio
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] we miss chagga wwmtikisiko mkuu hata mi huwa naangalia sana tu
Ya wengine nyani haoni kundule[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] we miss chagga ww
unaangalia ya mademu wengine au yakwako?
Sasa unataka nitikise nini?Ebu jipitishe kuanzia hapa chit-chat uende mpaka jukwaa la biashara nikufaidi.
Nitakubaiya ndai msupuu.
Cc Asprin
Chura!Sasa unataka nitikise nini?