Ni sababu gani inatufanya wanaume tushindwe kujizuia kuangalia makalio ya wanawake?

Utotoni ilikuwa 50 50 100.
Kumbe ilikuwa inaniandaa kuangalia hivi vyura nundu wesele huu ugonjwa dawa yake bado wanascience qanaendelea kuitafuta.
 
Yaan Mimi ndio ugonjwa wangu huo?

Na nkiwa kweny daladala napenda kugusana nayo
 
Kiukweli japo mie wa kike ila hata mm naangaliaga kazi ya Allah, wanapendeza bwana akipita unatamani arudi tena hapo uendelee kumwangalia
 
Sasa na mkishaangalia huwa mnajiskiaje?
ni burudani hatari....wataalamu wanadizaini miwani yenye sidemirror ili ili hata tako likipita unaliangalia kupitia mirror kwa raha mustarehe.....
 
Huo ni udhaifu tumeumbwa nao Mkuu, na ndio wanaotutesa nao hawa dada zetu [emoji58]
 
Reactions: 247
kuna demu alitaka anipige kibao kwenye kituo cha daladala alivoona naangalia wezere likipita sijui aliona wivu....!!!!!
 
Kumbe leo weekend... Ebu kinadada wajipitishe humu tuone vyura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…