Ni sababu gani inayotupelekea binadamu kufunga macho na kufungua?

Ni sababu gani inayotupelekea binadamu kufunga macho na kufungua?

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Husika na kichwa cha habari Hapo juu, eti wana jf imezoeleka Kwa kila binadamu ni jambo la kawaida, akiwa anaangalia kitu ama kuongea na mtu ni lazima afunge macho na kufungua, japo hutokea Kwa haraka sana lkn lazima kila baada muda flani lazima tufanye hivyo, je sababu hasa ni zipi?
 
Ungeenda kwa madaktari nadhan ungepewa jibu sahihi
 
Hiyo ni biology, ni involuntary action ambayo kazi yake kubwa ni kusambaza majimaji yanayotolewa na tezi zilizopo machoni ili kuweka jicho katika hali ya unyevu. kila unapofungua macho na kufunga unakuwa unasambaza majimaji hayo na kusafisha jicho.
 
jaribu kuacha jicho wazi japo kwa dk 2 ili uone umuhimu wa jicho kuwa na unyevu.
 
Wakuu kuna jibu nalitafuta, ila naomba apite hapa anaeli!
 
Ishajibiwa hapo juu.... Nikijibu itakuwa fujo
 
Back
Top Bottom