R round kick JF-Expert Member Joined Feb 3, 2025 Posts 345 Reaction score 1,145 Feb 27, 2025 #1 Huwaga inafikia steji watu wanayakatia tamaa magari yao wanaamua kutatelekeza magerejini, majumbani, n.k. Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu
Huwaga inafikia steji watu wanayakatia tamaa magari yao wanaamua kutatelekeza magerejini, majumbani, n.k. Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 7,781 Reaction score 6,966 Feb 27, 2025 #2 Gari ni engine, ikiqnzq zingua engine hasa gari kubwa ni ya ulaya basi kunakuwa mtihani.
Mshangazi dot com JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 1,345 Reaction score 3,503 Feb 27, 2025 #3 Gharama za matengenezo
brian mweusi Member Joined Feb 11, 2019 Posts 44 Reaction score 51 Feb 27, 2025 #4 Nadhan wamiliki weng wanachoka ttz kujirudia mara kwa mara alafu awe ameshazunguka kwa waganga wote na pesa ametumia nying
Nadhan wamiliki weng wanachoka ttz kujirudia mara kwa mara alafu awe ameshazunguka kwa waganga wote na pesa ametumia nying
brian mweusi Member Joined Feb 11, 2019 Posts 44 Reaction score 51 Feb 27, 2025 #5 Wape watot wazunguke gari ilo linapona