Ni sababu zipi zikafanya uokoaji uwe ni masaa 72 tu?

Paul dybala

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
524
Reaction score
2,097
Ni je?binadamu asipokula wala kunywa katika saa 72 anaweza kufa?

Iwapo hawezi kufa,,,kwanini wataalamu wanasema baada ya hizo saa kinachofuatia ni kusafisha eneo la ajali.

Kama ni hivyo bhasi,,janga la kuanguka kwa ghorofa la kariakoo halipaswi kuwa na ukomo wa uokozi,,kwa kuwa kuna matumaini huenda baadhi ya wahanga wakawa ni wazima.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…