Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubora wa ligi, ufuatiliaji wa watu na pia matangazo (promotion kwa vyombo vya habari online na kawaida)Wadau, kama post inavyojieleza hapo juu. Hii ni kwakuwa napataga tabu sana napokuwa katika mihanhaiko sehem ambapo hawaoneshi mipira, hivyo napataga wakat mgumu kufaham matokeo ya mechi mbalimbali zinazoendelea inchi.
Karibuni kwa msaada
Mkuu nilikuwa naangalia livescore mechi ya kagera vs simba sijaiona.mi ninachojua ligi za nchi zote zipo