Ni sababu zipi zinafanya ligi ya inchi flani kuwepo www.livescore.com?

stable

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
304
Reaction score
439
Wadau, kama post inavyojieleza hapo juu. Hii ni kwakuwa napataga tabu sana napokuwa katika mihanhaiko sehem ambapo hawaoneshi mipira, hivyo napataga wakat mgumu kufaham matokeo ya mechi mbalimbali zinazoendelea inchi.
Karibuni kwa msaada
 
Ubora wa ligi, ufuatiliaji wa watu na pia matangazo (promotion kwa vyombo vya habari online na kawaida)
 
mi ninachojua ligi za nchi zote zipo
Mkuu nilikuwa naangalia livescore mechi ya kagera vs simba sijaiona.
Shukran kwa saleh Jembe blog sport yeye huwa ana update Mechi live
 
Ni website kama zingine juweka na kutokuweka ni uamuz wa mmiliki jwa faida yake
 
Nilikwa natatizo kama lako,pakua sofa score hutajuta,hadi simba na kagera ipo
 
Reactions: K M
Sofascore, mpaka mechi za mchangani wapo hawa jamaa nadhani wao ndio sehemu sahihi ya kufuatilia matokeo ya michezo yote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…