Nimefanya interview na taasisi fulani inayojihusisha na maendeleo ya Jamii, cha kushangaza kuna baadhi ya vitu waliniomba niwasilishe nilivyompigia HR simu yake ya mkononi hapokei wala ujumbe hajibu.
Je, sio sahihi kwa HR kupokea simu ya mtu aliyemfanyia interview?