Ni sahihi akaunti ya Serikali ya TCCIA ku-follow changudoa mitandao ya kijamii?

Ni sahihi akaunti ya Serikali ya TCCIA ku-follow changudoa mitandao ya kijamii?

The Saver

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
202
Reaction score
651
Kama mnavyoona hapa yaani hata ukiwa unatumia account ya company huwezi KUFOLLOW account za Instagram za machangudoa

Screenshot_20211116_222417.jpg



Screenshot_20211116_222441.jpg
 
katika kupita pita siku moja paa paa ali double tap makalio ya natalia gariboto so hata hiyo itakua katika kupita pita
 
Anayebisha, atembelee hiyo akaunti saa 24 zijazo kama hajakuta 47K+ Followers...

Akili za wana-JF wanazijuwaga wenyewe, mi nawaambia!!

Halafu kuna kasauti nakasikia kananiambia "... na wewe chige nenda, nenda, ka-confirm kama kweli TCCIA wamem-follow Briana"

Nahisi haka kasauti kama kana point hivi....
 
Nao wana Kiu joto kali sana.



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom