Nilifikiri utahofia kua mtoto hatakua healthy... Kumbe mambo ya Mirathi... I am dissapointed.... SORRY.
Sio kwamba namchuria baba hapana. Ukiondoa mipango ya mwenyezi Mungu Binadamu tunaamini kuwa aliyetangulia kuzaliwa atangulie mbele ya haki pia. Refer: LIFE EXPECTANCY OF HUMAN BEING. Ndio maana vijana wakitangulia kufa kabla ya wazazi, wazazi hujisikia vibaya atakayewazika nani kama nguvu kazi itatangulia.Kuzaa hakuna mipaka ila ni utashi wa wahusika. Sijui Baba yako ni mwumini wa dini gani? Lakini kwa vile Mahakama ya Kadhi haijaanza na umeamua kumchuria Baba yako ukiamini atatangulia kufa kabla yako, angalia haya. Sheria za mirathi za nchi hazimtambui mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa. Kama yupo aliyezaliwa nje ya ndoa basi mzazi (Baba) anatakiwa amgawie urithi mtoto husika wakati wa uhai wake. Vyovyote itakavyokuwa jiandaeni kulea wadogo zenu. La mwisho unaweza kumpeleka hospitali Baba yako akaondolewa uwezo wa kutia mimba akabakiziwa ya starehe tu.
kama ulinielewa vizuri mtoto wa mwisho kwetu ana miaka 27 na wote tunajitegemea na wazazi wetu wanatutegemea sisi( MATUNZO). Mirathi ni by the way kwa maana ya mila za kiafrika. Naomba ushauri wa kisheria tu. Huyo mtoto ni wa baba na mkewe na kila mzazi anao wajibu wa kutunza watoto wake.Nani alikwambia mwanaume akiwa na umri mkubwa ndio huzalisha watoto wenye afya hafifu? Inategemea na life style ya mtu na afya yake; kuna watu wana miaka 65 lakini afya yao bomba na wanapiga muziki bila ya kutumia Viagra!!
HAHOFII KUACHWA MJANE AKINGALI BINTI? AU NDO MAPENZI HAYANA UMRI WALA KABILA? Pia kumbuka kijana wa mwisho kwetu ana karibu umri sawa na huyo mama yetu(MKE MDOGO WA MZEE) miaka 27 against 28.na huyo binti wa miaka 28,hana haki ya kupata mtoto?????
mbona unafikiria upande mmoja tu?