Ni sahihi Bank kuwa wazi mpaka usiku?

majany

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2008
Posts
1,223
Reaction score
585
Kwa ninavyofahamu B.O.T anaregulate commercial banks zoote,pia other financial institutions....hivi ni sahihi kwa banking hall kuwa wazi mpaka saa mbili usiku???Yaani huyu regulator(BOT) hana rules zinazo 'oversee' security ya mabenki???
Kwangu mie naona banking hall yabidi zifungwe kwenye muda husika uliopangwa....Hii nimeishuhudia kwa Access Bank....sidhani kama wako sahihi..
 
Sidhani kama BOT wana regulate hadi muda wa mabenki kufanya kazi, vinginevyo watakuwa wanaingilia hata uhuru wao kufanya kazi. Muhimu kwa BOT ni pesa (amana ) za watu kuwa salama. Hata hivyo wajuvi wa hii kitu watakuja kukupasha muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…