Elections 2010 Ni sahihi CCM ya JK kujivunia mafanikio ya TANU?

Elections 2010 Ni sahihi CCM ya JK kujivunia mafanikio ya TANU?

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
sote si wageni wa chama chetu kilicholeta uhuru cha tanu na maadili yake,tazama hata viongozi wake waliweka maslahi ya umma kwanza na ndio maana wengi wao hadi mauti yanawakuta hawakuwa na mali zozote waliojilimbikizia mifano ni mwl nyerere,kawawa,sokoine na wengineo,sasa leo anapotokea kiongozi wa ccm na tena wakati huu wa ukiukwaji mkubwa maadili ndani ya ccm na serikali yake,kiongozi mkuu wa hicho chama anajinadia kwa kusema ccm imeweka misingi mizuri nyanja zote kama ilivyofanya au ilivyokuwa enzi za tanu ni sahihi kweli?ccm ya leo ambayo ni chaka la kila aina ya uovu ni ya kujivunia mafanikio ya tanu ya wakina nyerere na kawawa?tanu ilikumbatia wahujumu uchumi kama ccm ya leo?tanu ilikuwa ya watakatifu wakati ccm ya leo ni ya wataka vitu
 
Back
Top Bottom