Ni sahihi kila wanachofanya kije kwenye media?

Wewe unaewaangalia wanakukera ndo tatizo wala si wao.ni kama mtu akupangie soma post usicomment ama like.maisha ni yao hawajakuomba bundle wala smart phone.wanahustle zao na kujidai kivyao.wewe na wanaowakera fanyieni kazi maisha yenu .kila mtu ana uhuru wa kufanya yake ilimradi hamkosei Mungu na mamlaka ya duniani.na kwa Mungu yeye ndo ataamua kama kakosewa.take a chill pill
 
Itakua mtoa mada hajui kutofautisha media na socia networks kwenye media hua host wa kipnd ndie huwa anachukua jukumu la kuonyesha mali za msanii alizonazo na kama mtoa mada amekulia mjini so atakua anaelewa nikimwambia DSTV ambapo kuna kipindi kilikua kinaitwa mtvcrib sijui kama kipo hadi sasa kilokua kinaonyesha mali za mastaa majumba wanayomiliki pamoja na magar walionayo so ile inawapa hamasa watazamaji kuona mafanikio ya msanii wao so kwa ww labda uwe na wivu wa maendeleo ndipo nitakuelewa na kwenye social networks kila mtu mwenye smartphone kuna app inaitwa instagram labda tu wewe mtoa mada usiwe nayo ile ni kwa ajli ya kushare picha na followers wako sasa mtoa mada cjui ww kwenye insta huwa unashare nin i mean unapiga picha mawingu na kushare na followers wako au umeieweka tu huku ikiwa na 0 post hapo nitakua nimekuelewa
 
Ndo Hawa Hawa Wanaonekana Na Maisha Yakifahari Wakifa Wanaonekana Maskini
 
Uzuri hao wasanii wamewapata bongolala wenzao wa kuwajadili kila kukicha. Kama hawa jobless wangepata vya maana vya kufanya wasingekuwa wanashindania kuhusu hawa ma-celebrity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…