Sasa chai ya maziwa itakuaje chai ya maziwa bila majani ya chai kuchanganywa na maziwa?!Sasa unanunua maziwa afu unaweka tea bag, hapo Hakuna tofuati na kunywa chai ya rangi.
Chai mazima iwe maziwa pekee yake au maziwa na viungo vya chai na sio majani ya chai.
Bc chukua maji, weka majani ya chai then ita chai ya maziwaSasa chai ya maziwa itakuaje chai ya maziwa bila majani ya chai kuchanganywa na maziwa?!
Unanichanganya mzee😬Umewahi kujua tofauti ya ugali samaki na samaki ugali?
Ukila chips na mayai kwa pembeni hiyo bado ni chips mayai?
Rangi ya majaniMkisema chai ya rangi, ina maana rangi gani?