Ni sahihi kukamata watu kwa Kosa la uzembe na uzururaji karne ya 21?

Ni sahihi kukamata watu kwa Kosa la uzembe na uzururaji karne ya 21?

Mimi wakinikamatq nazurura mahakamni nitasema nilikuwa naenda kutafuta kazi ya kuokota makopo
 
Kitaa unakuta Askari kafunga watu kama 20 hivi mashati wanapelekwa kituo cha polisi. Kosa Ni UZEMBE na UZURURAJI daah.

**Mahakamani Mzembe na Mzururaji ushahidi wa kumtia mtu hatiani huwa ni nini?
Miongoni mwa visheria vya kipumbavu ni hicho na adhabu yake ni miezi sita au fain 50000
 
Mmoja athletes maana ya uzururaji.

Kingine nasikiaga wanaokaa bustani Posta wanakamaga eti uzururaji, How hua nakuwa confused inakuwaje?
 
na hao wanaokamatwa ni wazembe vilevile yaani mmesahau kabisa zile ajira za kuokota makopo na machuma chakavu ambazo wanazitangaza kila siku kuwa zimeongezeka sasa mtu yuko kwenye ajir yake unamkamataje? ndiomaana kenya wanatushangaa sana, yaani mifumo mibovu itengeneze tatizo la ajira then ukamate watu sijawahi kuona, madaktari wenyewe wamejaa mtaani hawana kazi wakati uhitaji wao ni asilimia 60 je nyie kada nyingine sindio mtakufa na kustaafia nyumbani? kilichopo kila mtu apambane na hali yake maana ukishaona nchi ambayo wenye akili ni threat wanachaguana vilaza tu ujue ndio madhara yake hayo. POLENI sana
 
Huo ni uonevu wa adkari. Maana hata ukikamatwa, huwezi kupelekwa mqhakamani zaidi ya kulipishwa faini.
 
Kwanini uwe mzembe na mzururaji, kaa nyumbani angalia TV ya shemeji
 
Back
Top Bottom