na hao wanaokamatwa ni wazembe vilevile yaani mmesahau kabisa zile ajira za kuokota makopo na machuma chakavu ambazo wanazitangaza kila siku kuwa zimeongezeka sasa mtu yuko kwenye ajir yake unamkamataje? ndiomaana kenya wanatushangaa sana, yaani mifumo mibovu itengeneze tatizo la ajira then ukamate watu sijawahi kuona, madaktari wenyewe wamejaa mtaani hawana kazi wakati uhitaji wao ni asilimia 60 je nyie kada nyingine sindio mtakufa na kustaafia nyumbani? kilichopo kila mtu apambane na hali yake maana ukishaona nchi ambayo wenye akili ni threat wanachaguana vilaza tu ujue ndio madhara yake hayo. POLENI sana