Tumekuwa na kipindi cha mgawo wa umeme mara kadhaa sasa. Wakati ni kweli kuwa service charge ni fixed, je kisheria ni sahihi kuchangia kitu ambacho huduma zake hazieleweki kwa neno la service charges?
Hapana sio dhuruma.Service charge ni lazima hata kama umeme ni wa mgao kwa menejimenti ya mgao nayo ni huduma ILA token hautalipia mpaka umeme uwe unawaka.