Chapa mpaka ilale
Senior Member
- May 17, 2018
- 152
- 159
Weeh !! Kipind naomba namba mtoto anataka aiandike ndio nashangaa tumevamiwa "namba yke ya simu ya nn ww nn ambacho mm simpi nyiny ndio wale vijama mnachezea watoto wa watu na makelele kibao "Namba za simu hukufanikiwa kuchukua?
Weeh !! Kipind naomba namba mtoto anataka aiandike ndio nashangaa tumevamiwa "namba yke ya simu ya nn ww nn ambacho mm simpi nyiny ndio wale vijama mnachezea watoto wa watu na makelele kibao "
Ni hoja hii ndio nilikuwa nawaambia mzazi unamkazia mtoto utasema atakaa nae 24/7Mwache akae nae labda atamuoa mwenyewe
Nilinwambia kuwa nimemfananisha na mtu fulaan huyu ivo nilipenda kumfahamu ndio maana nikamwomba namba ya simu lkn haikusaidia kituUlimjibu nini huyo maza mpaka akawaka hivoo na kujaza nzi
Mbona kuwatuliza hao ni rahis sana
Nilikuwa smart na simu nilikuwa na samsung A10 nilikuwa very smart maana uko najoe nilikuwa nafuata gambe lengine na sina sura ya kihuniWamama ni werevu sana:
Hata kama umepanda daladala, akitangulia yeye kupanda halafu akakuona kijana smart kama mimi umekaa peke yako, nimetupia viwalo fresh, simu ya maana mkononi, buti safi sio ndala, ngozi inaonyesha wazi sina dhiki za ajabu wa stress za kipumbavu, atakacho kifanya atakaa siti ya upande wa pili, binti yake akija atamwambia akae na wewe, wawe karibu. Gari ikianza kujaa mama ataenda kukaa siti za mbele makusudi.
Lakini ukiona mama anakuwa mbogo, ujue kimuonekano ulifeli siku hiyo kumshawishi mama mkwe akupe fursa.
Yaan mm huwa nashangaa hawa wanawake hata siwaelewag mama yngu mm mwenyewe upo ivo toka zaman akiona kabint kanajileta pale hme anakafukuzaHuyo mama atakutafuta mwanae akifikisha 30's akiona bila bila!
Ndio nilikuwa natoa hoja km hzo na nilimwambia yule mama kuwa asinifokee mana mm sio muhuniBi mkubwa anabana utasema yeye akazwi.
Hii kauli hapa "kukatokea vurugu na malumbano makali" inaonyesha wazi una uso wa kikauzu zaidi ya harmorapa.Nilikuwa smart na simu nilikuwa na samsung A10 nilikuwa very smart maana uko najoe nilikuwa nafuata gambe lengine na sina sura ya kihuni
Yaan ata sielew huyu mama alitakaje