ni sahihi kusema "habari za kimataifa?"

ni sahihi kusema "habari za kimataifa?"

pererge

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
571
Reaction score
204
Hutokea mara nyingi watangazaji wakisema "habari za kimataifa" au "habari za kimichezo" ni sahihi? Mimi nadhani ingekuwa "habari za mataifa", na "habari za michezo". nisaidieni lugha wandugu.
 
Back
Top Bottom