pererge JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 571 Reaction score 204 Nov 16, 2012 #1 Hutokea mara nyingi watangazaji wakisema "habari za kimataifa" au "habari za kimichezo" ni sahihi? Mimi nadhani ingekuwa "habari za mataifa", na "habari za michezo". nisaidieni lugha wandugu.
Hutokea mara nyingi watangazaji wakisema "habari za kimataifa" au "habari za kimichezo" ni sahihi? Mimi nadhani ingekuwa "habari za mataifa", na "habari za michezo". nisaidieni lugha wandugu.
Emc2 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 16,808 Reaction score 16,887 Nov 16, 2012 #2 Matokeo hayajatoka?