Ni wabongo kunyumbulisha maneno ya kiingereza wasiyojua maana yakeUnakuta mtu anasema:" yani huyu mtoto kafanana na baba yake COPYRIGHT!" Hivi ni sahihi kweli kutumia neno hili kufananisha watu/vitu? ukisoma maana yake ni tofauti na jinsi neno linavyotumika. Tusaidiane hapo je ni sahihi kutumia neno hili ama sivyo? kama sivyo tutumie neno lipi?
Asante
Sasa kama nafananisha watu yupi ndio anakuwa orijino? | |||
asante kwa mchango wako mkuuSio sahihi, kama ilivyo elezwa hapa juu!
Copyright ni hati miliki na haina husiano na kufananisha vitu. Ni sahihi kutumia carbon copy kufananisha na hapa na nukuu kutoka wiki - "The term "carbon copy" can denote anything that is a near duplicate of an original"