Ni sahihi kuwaita TFF matapeli na walaghai

Intricate

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
56
Reaction score
162
Ikiwa wanaruhusu kughairishwa kwa match na kuchukua pesa za viingilio kwa wale waliokata ticket na kutoweka njia yeyote ya kufidia, basi ni sahihi kuwaita matapeli tu.

Na kudhihirisha ulaghai wao, walitoa tangazo kabisa la kuhakikishia watu uwepo wa match na kuwa waendelee kukata ticket.

Inawezekana lao na body ya league pamoja na simba ni moja.
 
Mi hizo Wala Haziniumi! Mijitu ishaambiwa Mechi imeahirishwa, yenyewe bado tu inaenda kujaza uwanja.!

Afu mijitu mingine ni Viongozi Yanga kwa kujitoa Ufahamu , We mwenye kusimamia mpira keshasema Mechi hakuna , sasa wewe unaruhusu timu itinge uwanjani. Una akili kweli wewe?

Refa utamleta wewe?

Kitine na Hersi Watimuliwe tu wametuangusha sana!!
 
Simba bora wanyang'anywe point tatu na ku loose ubingwa kuliko kufungwa mara tano mfululizo na watani wao wa jadi ni hatari kubwa kwa uongozi wa simba.

Shikamoo uongozi wa simba kwa akili kubwa na msala kuwapa bodi ya ligi
 
Mi hizo Wala Haziniumi! Mijitu ishaambiwa Mechi imeahirishwa, yenyewe bado tu inaenda kujaza uwanja.!

Afu mijitu mingine ni Viongozi Yanga kwa kujitoa Ufahamu , We mwenye kusimamia mpira keshasema Mechi hakuna , sasa wewe unaruhusu timu itinge uwanjani. Una akili kweli wewe?

Refa utamleta wewe?

Kitine na Hersi Watimuliwe tu wametuangusha sana!!
Huna akili. Hufahamu process za kudai haki lazima uwe umefuata kanuni na sheria zinavyotaka

Yanga watadai vipi point tatu magoli matatu ikiwa hawajapeleka timu uwanjani
 
Unatumia hisia kufikiri badala ya ubongo, watu waliokata ticket kabla ya siku ya mechi ni maelfu. Kuahirisha mechi ni kudhulumu watu mchana kweupe. Watu waliosafiri kuja Dar wiki nzima na kupoteza pesa zao unawalipaje? Wahuni ni Simba na tff na lazima waadhibiwe wasirudie, hivi kwanza Mama anasemaje kuhusu hawa wahuni?
 
Kwa nini muwazuie kufanya mazoezi?
 
Kwa nini muwazuie kufanya mazoezi?
Walizuiliwa na nani? Msimamizi na mlinzi wa uwanja na kamishina wa mechi wanasemaje kuhusu hili.

Simba walivyokwenda bila taarifa walitegemea watakuta uwanja uko wazi. Kwanini sima hawakutoa taarifa mapema kama watatumia uwanja kwa mazoezi ya mwisho ili wahusika wafanye maandalizi kwa ajili yao?
 
Huna akili. Hufahamu process za kudai haki lazima uwe umefuata kanuni na sheria zinavyotaka

Yanga watadai vipi point tatu magoli matatu ikiwa hawajapeleka timu uwanjani
Unawezaje kudai points za mezani ikiwa bodi ya ligi imeahirisha mechi?
 
Kuna utaratibu wa kuailisha mechi, sio kihuni namna hii kama ulivyofanywa na simba na viongozi wachache wa bodi ya ligi kwa kula hongo na mahaba niuwe kwa simba
 
Huna akili. Hufahamu process za kudai haki lazima uwe umefuata kanuni na sheria zinavyotaka

Yanga watadai vipi point tatu magoli matatu ikiwa hawajapeleka timu uwanjani

Ewe mwanamichezo kwa ushauri tu... kaa mbali na Utopolo Kipindi hiki maana Wanahasira sana.!

Utamdai nani pointi 3 na Magoli matatu wakati vyombo vyenye mamlaka na mpira nchini vimeshasema hakuna mechi., ndo maana hawakuleta uwanjani refa wala kamisaa.

Sasa , mijitu ya Yanga inapeleka timu uwanjani.Ama kweli Huko imejaa mizuzu tupu.
 
Mi hizo Wala Haziniumi! Mijitu ishaambiwa Mechi imeahirishwa, yenyewe bado tu inaenda kujaza uwanja.!

Afu mijitu mingine ni Viongozi Yanga kwa kujitoa Ufahamu , We mwenye kusimamia mpira keshasema Mechi hakuna , sasa wewe unaruhusu timu itinge uwanjani. Una akili kweli wewe?

Refa utamleta wewe?

Kitine na Hersi Watimuliwe tu wametuangusha sana!!
Ushaambiwa pale Utopoloni Wenye Akili ni Wawili tu Sunday Manara na Mzee kikwete TU Wengineo Wote Waliobakia ni Amnazo
 
FIFA WENYE MPIRA WAO WANASEMA.

"Marufuku selikali kuingilia Kati masuala ya Mpira wa Miguu
"
 
FIFA WENYE MPIRA WAO WANASEMA.

"Marufuku selikali kuingilia Kati
Hizo pesa serikali ingilie kati bora zikasaidie huduma za kijamii kuliko kuwajaza matumbo watu pale TFF

masuala ya Mpira wa Miguu"
 
Unatumia hisia kufikiri badala ya ubongo, watu waliokata ticket kabla ya siku ya mechi ni maelfu. Kuahirisha mechi ni kudhulumu watu mchana kweupe. Watu waliosafiri kuja Dar wiki nzima na kupoteza pesa zao unawalipaje? Wahuni ni Simba na tff na lazima waadhibiwe wasirudie, hivi kwanza Mama anasemaje kuhusu hawa wahuni?
Mama anahusika vipi kwenye maamuzi ya mpira?
Maamuzi yaliyotolewa na bodi ya ligi hujayaona? Au wewe upo unasubiri maamuzi ya mama?
 
Walizuiliwa na nani? Msimamizi na mlinzi wa uwanja na kamishina wa mechi wanasemaje kuhusu hili.

Simba walivyokwenda bila taarifa walitegemea watakuta uwanja uko wazi. Kwanini sima hawakutoa taarifa mapema kama watatumia uwanja kwa mazoezi ya mwisho ili wahusika wafanye maandalizi kwa ajili yao?
Kwani kufungua uwanja inachukua masaa mangapi? Na ni maandalizi gani waliyohitaji kuyafanya Simba wakiwa wamefika pale?
 
Back
Top Bottom