Huna akili. Hufahamu process za kudai haki lazima uwe umefuata kanuni na sheria zinavyotakaMi hizo Wala Haziniumi! Mijitu ishaambiwa Mechi imeahirishwa, yenyewe bado tu inaenda kujaza uwanja.!
Afu mijitu mingine ni Viongozi Yanga kwa kujitoa Ufahamu , We mwenye kusimamia mpira keshasema Mechi hakuna , sasa wewe unaruhusu timu itinge uwanjani. Una akili kweli wewe?
Refa utamleta wewe?
Kitine na Hersi Watimuliwe tu wametuangusha sana!!
Unatumia hisia kufikiri badala ya ubongo, watu waliokata ticket kabla ya siku ya mechi ni maelfu. Kuahirisha mechi ni kudhulumu watu mchana kweupe. Watu waliosafiri kuja Dar wiki nzima na kupoteza pesa zao unawalipaje? Wahuni ni Simba na tff na lazima waadhibiwe wasirudie, hivi kwanza Mama anasemaje kuhusu hawa wahuni?Mi hizo Wala Haziniumi! Mijitu ishaambiwa Mechi imeahirishwa, yenyewe bado tu inaenda kujaza uwanja.!
Afu mijitu mingine ni Viongozi Yanga kwa kujitoa Ufahamu , We mwenye kusimamia mpira keshasema Mechi hakuna , sasa wewe unaruhusu timu itinge uwanjani. Una akili kweli wewe?
Refa utamleta wewe?
Kitine na Hersi Watimuliwe tu wametuangusha sana!!
Kwa nini muwazuie kufanya mazoezi?Unatumia hisia kufikiri badala ya ubongo, watu waliokata ticket kabla ya siku ya mechi ni maelfu. Kuahirisha mechi ni kudhulumu watu mchana kweupe. Watu waliosafiri kuja Dar wiki nzima na kupoteza pesa zao unawalipaje? Wahuni ni Simba na tff na lazima waadhibiwe wasirudie, hivi kwanza Mama anasemaje kuhusu hawa wahuni?
Nani aliyewazuia?Kwa nini muwazuie kufanya mazoezi?
Walizuiliwa na nani? Msimamizi na mlinzi wa uwanja na kamishina wa mechi wanasemaje kuhusu hili.Kwa nini muwazuie kufanya mazoezi?
Unawezaje kudai points za mezani ikiwa bodi ya ligi imeahirisha mechi?Huna akili. Hufahamu process za kudai haki lazima uwe umefuata kanuni na sheria zinavyotaka
Yanga watadai vipi point tatu magoli matatu ikiwa hawajapeleka timu uwanjani
Kuna utaratibu wa kuailisha mechi, sio kihuni namna hii kama ulivyofanywa na simba na viongozi wachache wa bodi ya ligi kwa kula hongo na mahaba niuwe kwa simbaUnawezaje kudai points za mezani ikiwa bodi ya ligi imeahirisha mechi?
Huna akili. Hufahamu process za kudai haki lazima uwe umefuata kanuni na sheria zinavyotaka
Yanga watadai vipi point tatu magoli matatu ikiwa hawajapeleka timu uwanjani
Ushaambiwa pale Utopoloni Wenye Akili ni Wawili tu Sunday Manara na Mzee kikwete TU Wengineo Wote Waliobakia ni AmnazoMi hizo Wala Haziniumi! Mijitu ishaambiwa Mechi imeahirishwa, yenyewe bado tu inaenda kujaza uwanja.!
Afu mijitu mingine ni Viongozi Yanga kwa kujitoa Ufahamu , We mwenye kusimamia mpira keshasema Mechi hakuna , sasa wewe unaruhusu timu itinge uwanjani. Una akili kweli wewe?
Refa utamleta wewe?
Kitine na Hersi Watimuliwe tu wametuangusha sana!!
Hizo pesa serikali ingilie kati bora zikasaidie huduma za kijamii kuliko kuwajaza matumbo watu pale TFF
Tofautisha katibya Ngao ya Hisani na Ligi kuu.Hizo pesa serikali ingilie kati bora zikasaidie huduma za kijamii kuliko kuwajaza matumbo watu pale TFF
Mama anahusika vipi kwenye maamuzi ya mpira?Unatumia hisia kufikiri badala ya ubongo, watu waliokata ticket kabla ya siku ya mechi ni maelfu. Kuahirisha mechi ni kudhulumu watu mchana kweupe. Watu waliosafiri kuja Dar wiki nzima na kupoteza pesa zao unawalipaje? Wahuni ni Simba na tff na lazima waadhibiwe wasirudie, hivi kwanza Mama anasemaje kuhusu hawa wahuni?
Kwani kufungua uwanja inachukua masaa mangapi? Na ni maandalizi gani waliyohitaji kuyafanya Simba wakiwa wamefika pale?Walizuiliwa na nani? Msimamizi na mlinzi wa uwanja na kamishina wa mechi wanasemaje kuhusu hili.
Simba walivyokwenda bila taarifa walitegemea watakuta uwanja uko wazi. Kwanini sima hawakutoa taarifa mapema kama watatumia uwanja kwa mazoezi ya mwisho ili wahusika wafanye maandalizi kwa ajili yao?