Ni sahihi kuwaita TFF matapeli na walaghai

Kuna utaratibu wa kuailisha mechi, sio kihuni namna hii kama ulivyofanywa na simba na viongozi wachache wa bodi ya ligi kwa kula hongo na mahaba niuwe kwa simba
Simba hawajahairisha mechi, wao walisema hawaleti timu uwanjani, bodi ya ligi ilibidi wakae kimya ili simba adhabu iwakute, kwa hayo mazingira huwezi kumuadhibu simba kamwe.
 
Sahihi kabisa tena matapeli mchundo.
 
Mama anahusika vipi kwenye maamuzi ya mpira?
Maamuzi yaliyotolewa na bodi ya ligi hujayaona? Au wewe upo unasubiri maamuzi ya mama?
Wahuni wa Simba na tff wamedhulumu maelfu ya raia pesa zao kwa kufuta mechi kihuni bila kufuata kanuni za soka, Mama anaweza kusema watimuliwe tu, hawana faida kwenye jamii, mbona kesi ya Feitoto Bimkubwa alikata shauri. Hata hapa akiamua anaweza.
 
Simba bora wanyang'anywe point tatu na ku loose ubingwa kuliko kufungwa mara tano mfululizo na watani wao wa jadi ni hatari kubwa kwa uongozi wa simba.

Shikamoo uongozi wa simba kwa akili kubwa na msala kuwapa bodi ya ligi
Yanga mwenzangu ila kilaza. Ku LOOSe ubingwa maana yake nini in english or swahili. Una Elimu gani dogo? Darasa la Nne ulimaliza? Nyie huwa mnajifanya mashabiki wa Yanga ili tuonekane wenye akili ni wawili 2 pale Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…