Ni sahihi kwa mume kumfumua mkewe nywele?

Namna unavyojiweka ndivyo watu wanavyokuchukulia,

Mimi nitakuwa tofauti kidogo siwezi,sitaweza na haiwezekani,
Huo ni ujinga najua wengi mtasema ni mapenzi lakini ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume.

Kuna njia nyingi za kuonesha mapenzi kwa mpenzi au mke na siyo ujinga mwingine.

Hata hao wanaonyoana sehemu za siri ni wapumbavu na wasioheshimiana.

Mkeo hapaswi hata kuiona nyeti yako,hata wewe hupaswi kuona sehemu zake sa siri.

Yapo mambo ya kijinga mengi yanaendelea watu wakidhani ni mapenzi e.g kinyonyana nyeti zao hii siyo nzuri kiafya na wanaofanya hivyo wasidhani ni kuzidisha utundu ama nini ni kujidhalilisha tu.

Kuna vitu vinatia kinyaa na ni kinyume na maadili .

Mwanaume anapendwa,anaheshimiwa,anaogopwa,anasikilizwa,anapewa nafasi akiwa na PESA,PESA,PESA siyo vitu vya ajabu.
 
Kwamba Bill gates kwa Belinda yalikosekana maokoto?

Hayana formula
 
[emoji109][emoji109]
 
Back
Top Bottom