Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Habari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.

- Sijui anapoishi.
- Ni mjasiriamali hana address.
- Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.