I must probably be the only one new on Planet Earth.Huko kukaa kwako si ndio uchumba wenyewe sasa au????
Habari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuomdoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi.
Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
Sijui anapoishi.
Ni mjasiriamali hana address.
Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Karibu sana....I must probably be the only one new on Planet Earth.
Hahahaha huyo hataki mchumba.,hata kumuliza ndugu zake au anapokaa hajuiHuko kukaa kwako si ndio uchumba wenyewe sasa au????
Wewe Binti Yako au Dada Yako akifanyiwa ushenzi kama huu utafurahi?Habari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuomdoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi.
Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
Sijui anapoishi.
Ni mjasiriamali hana address.
Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
NAKAZIA hilo neno la NNE kutoka mwishoniWewe Binti Yako au Dada Yako akifanyiwa ushenzi kama huu utafurahi?
hahahahahaha..dahDaah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma
Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka
Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi
Kishakula mbususu hadi amechoka.....haya mambo hayahahahaha huyo hataki mchumba.,hata kumuliza ndugu zake au anapokaa hajui
hahahahaha,halafu anaitosaKishakula mbususu hadi amechoka.....haya mambo haya
AiseeTuwaoeni jamani hawa watoto wa kike sometimes nawaonea huruma sana hawa viumbe.
Kat#mb binti wawatu weeeeeeeee kisha anamwambia ondoka ndio maana hawa viumbe wanaenda kufanya madawa waoleweKishakula mbususu hadi amechoka.....haya mambo haya