ni sahihi kwa mwanaume.....


ni kweli inapendeza akitoa kwa moyo ila ni vizuri at times kuangalia mfuko wa mwenzio pia uko vipi au?
 

matumizi mabaya ya pesa kumpa mkeo pesa ya kumfanya azidi kupendeza??
 
michelle my dea wewe hutaki kuomba hela kwenda kusuka pick n drop? au unaongelea saluni for wash n set?? ha ha ha ... lol :wink2:
 
Wanawake inabidi muondoe mawazo ya kijima vichwani mwenu!!!
Kila upande katika nyumba unatakiwa kuuinua upande mwingine. Mwanamke unatakiwa kumuomba bwana wako tena kwa kupembeleza ila yeye hatakiwi kukuomba. Unatakiwa umpe kwa umbembeleza pasipo yeye kukuomba. just catch him in need and give him. Mwanaume kwako anatakiwa kuomba kitu kimoja tu ....................... KUKU************! ................ vingine vyote mpe bila kuomba! Siku akiwa na hamu ya nanino akauchuna bila kukuomba tena kwa kukubembeleza kwa ahadi za asali na vilio vya nyika na konde then, njoo niambie ntakupa limbwata kali sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…