Ni sahihi kwa OCD kusindikiza mitihani ya darasa la 7?

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
Leo nimeshuhudia OCD wa WIlaya ya Hai akisindikiza Mitihani kuelekea Moshi na kingora, Wapo wa chini yake kama OCS, OCCID ha hawa wasaidizi wake wote wana wasaidizi wao wenye nyota 1 hadi 2 pia, sasa inakuwaje. huyu ndio yule aliye mkarpia Mbowe na kumwambia hata shinda hata iweje.

Huyu na hiki cheo je anaijua mipaka yake ya kazi? je anajua power of delegation?

EH MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Amekimbia timu kutoka makao makuu iliyokuja kumhoji, akifanya ana kazi maalumu. Timu hiyo itamhoji hata usiku wa manane.
Leo nimeshuhudia OCD wa WIlaya ya Hai akisindikiza Mitihani kuelekea Moshi na kingora, Wapo wa chini yake kama OCS, OCCID ha hawa wasaidizi wake wote wana wasaidizi wao wenye nyota 1 hadi 2 pia, sasa inakuwaje. huyu ndio yule aliye mkarpia Mbowe na kumwambia hata shinda hata iweje.

Huyu na hiki cheo je anaijua mipaka yake ya kazi? je anajua power of delegation?

EH MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Hiyo ni sawa mkuu,mitihani ni kitu sensitivu sana,ni miongoni mwa vitu vinavyotumia gharama kubwa sana na pia hayo ni maisha ya watu ambao hatujui watakuja kulifanyia nini Taifa.

Bora uchezee hata mitihani ya vyuoni na sio la saba na kidato cha nne
 
Shida yako wewe hasa nini... kweli mtu ukimchukia hata akiogelea utasema anakutimulia vumbi
 
Leo nimeshuhudia OCD wa WIlaya ya Hai akisindikiza Mitihani kuelekea Moshi na kingora, Wapo wa chini yake kama OCS, OCCID ha hawa wasaidizi wake wote wana wasaidizi wao wenye nyota 1 hadi 2 pia, sasa inakuwaje. huyu ndio yule aliye mkarpia Mbowe na kumwambia hata shinda hata iweje.

Huyu na hiki cheo je anaijua mipaka yake ya kazi? je anajua power of delegation?

EH MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mitihani ya darasa la saba, kidatu cha nne na sita ni suala nyeti linalohusu usalama wa nchi. OCD ni mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya na kwa cheo chake anaingia moja kwa moja kwenye Kamati ya Mtihani ya Wilaya (Stnd VII, Form IV na VI)

Wengine wanaounda kamati ya Mitihani ni Mkurugenzi wa Halmashauri husika, DSO, Maafisa Elimu Msingi na Sekondari na Maafisa Taaluma wa Wilaya husika

Kwahiyo kwa OCD kusindikiza mitihani ni wajibu wake kwa kanuni za Baraza la Mitihani na kama akiwakamisha wasaidizi wake ni kwa dharura tu
 
Hiyo ni sawa mkuu,mitihani ni kitu sensitivu sana,ni miongoni mwa vitu vinavyotumia gharama kubwa sana na pia hayo ni maisha ya watu ambao hatujui watakuja kulifanyia nini Taifa.

Bora uchezee hata mitihani ya vyuoni na sio la saba na kidato cha nne
Kwa hiyo yeye akiwepo nini kinaongezeka au nini kinapungua asipokuwepo?.
 
Hiyo ni sawa mkuu,mitihani ni kitu sensitivu sana,ni miongoni mwa vitu vinavyotumia gharama kubwa sana na pia hayo ni maisha ya watu ambao hatujui watakuja kulifanyia nini Taifa.

Bora uchezee hata mitihani ya vyuoni na sio la saba na kidato cha nne
Mitihani unalindwa ile mbaya. Katika ngazi ya wilaya kuna DSO, Mkuu wa Wilaya na OCD ambao wanahakikisha mitihani inapokolewa katika vituo husika na kutunzwa kabla na baada ya kufanyika kwa mtihani, vilevile kuhakikisha inapelekwa katika kituo kilichopangwa kwa ajili ya usahihishaji.
 
Mtihani wa Darasa la saba hulindwa kwa mitutu kutisha watoto, vyuoni wanafunzi wanaingia na simu janja... hovyo kabisa.
 
W
Leo nimeshuhudia OCD wa WIlaya ya Hai akisindikiza Mitihani kuelekea Moshi na kingora, Wapo wa chini yake kama OCS, OCCID ha hawa wasaidizi wake wote wana wasaidizi wao wenye nyota 1 hadi 2 pia, sasa inakuwaje. huyu ndio yule aliye mkarpia Mbowe na kumwambia hata shinda hata iweje.

Huyu na hiki cheo je anaijua mipaka yake ya kazi? je anajua power of delegation?

EH MUNGU IBARIKI TANZANIA
wewe ulitaka ndio usindikize hiyo mitihani?
 
Back
Top Bottom