Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 151
- Thread starter
-
- #21
hahaha.. Ni bora uwape hiyo 5000 au 10,000 tu ujue moja..
Kuliko kupigwa kalenda(njoo kesho, njoo keshokutwa) mwisho wa siku hizo gharama za nauli zitazidi hata hiyo 5000..
Ukisai risit wanakwambia kila penye mhuri elf 2 wanapiga kuna siku nilienda kufanya certification buguruni ilikua shidaaaaa ikabid niwape buku 5 vinginevyo ilikua inaingia ka elf 50 hv ka ningepewa risit
vp ndugu na ww ni muhanga nn?
dah namkumbuka yule jaji wa mahakama ya hakimu mkazi moshi, alikua anakwambia tu kijana elfu tatu unayo,,,?? Hapo ni ndio mama tu sikutaka shida jamen!
Hahaha alikuuliza before haja sign au after kesha sign ndo akakuuliza
kwi kwi kiwi kwi, jaji wa mahakama gani????dah namkumbuka yule jaji wa mahakama ya hakimu mkazi moshi, alikua anakwambia tu kijana elfu tatu unayo,,,?? Hapo ni ndio mama tu sikutaka shida jamen!
kwi kwi kiwi kwi, jaji wa mahakama gani????
yani we ndio tutusa sijawahi ona. mkiwa mnaambiwa kutembelea mahakama mjue jinsi zilivyo na muundo wake mnaona ni bora kukesha kwanye vigodoro na kushinda kwenye vijiwe vya kahawa. na naomba kuuliza hivi somo la uraia bado lipo au walilihujumu kama reli ya....!?
Nyie watoto mjiulize kwanza kwa nini mnagonga muhuri! kwa kuelimishana wakili au hakimu ni mawakala wa viapo, na ni sahihi kabisa kutozwa hela , kwa mahakamani ni fixed nadhani ni km 500 (when i did it) kwa nakala 1 na unapewa Govt receipt, kwa wakili ni soko huria hata laki 1 inawezekana ww unafikiri ukiingia mfano Mkono Advocates upigwe kiyoyozi na maji unywe na sofa ukalie ulipe buku1? thubutu! tatizo hamuulizi mnafuata mkumbo tu, dai receipt kwa kila malipo hautaibiwi wala kutoa rushwa kamwe!
sifahamu chochote civics o level nilipata b nadhani kwa sababu sijui legal issues ningepata a...gs nna b plain bado sifahamu ila yote tisa nimechagua llb dsm,bale udsm , llb mzumbe na nimekubaliwa first round ushamba wangu utaishia apo kakaaaa mkubwa! Na vgodoro,kahawa takataka zote bado sana honestly mda mwingi natumia kusoma articles,vitabu na movie za series!
Pia achana na seriuos soma vitabu, series movie zitakubrain wash tu,
ulichokikosa kwenye URAIA/CIVICS/GS/SIASA utakipata kwenye vitabu, halafu kwa kozi ulizopata usiposoma vitabu, chuo unaenda kukua tu! maisha yatakupiga sana!
nashindwa kuelewa yani muhuri ni kwasecretary then signature ni kwa hakimu juu ghorofani sasa sijui wanagawana au,,
mkuu tuwekane sawa tu kuna baadhi ya vitu haviitaji B+ wala misonge zaidi ya ubora wa chimbuko la elimu yako msingi. hivi leo kujua Meli inaongowa na NAHODHA, au Ndege ina endeshwa na rubani bado inahitaji B+ au "karai"?sifahamu chochote civics o level nilipata b nadhani kwa sababu sijui legal issues ningepata a...gs nna b plain bado sifahamu ila yote tisa nimechagua llb dsm,bale udsm , llb mzumbe na nimekubaliwa first round ushamba wangu utaishia apo kakaaaa mkubwa! Na vgodoro,kahawa takataka zote bado sana honestly mda mwingi natumia kusoma articles,vitabu na movie za series!
mkuu tuwekane sawa tu kuna baadhi ya vitu haviitaji B+ wala misonge zaidi ya ubora wa chimbuko la elimu yako msingi. hivi leo kujua Meli inaongowa na NAHODHA, au Ndege ina endeshwa na rubani bado inahitaji B+ au "karai"?
Ndio maana nikahamaki kusikia aliyekuhudumia ni Jaji wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...!!!!
Majaji mara nyingi kutokana na ufahamu na uelewa wangu finyu nilionao mapaka sasa ni watu wenye wadhifa wa kuongoza kuanzia Mahakama kuu na kuendelea juu na sio mahakama za chini.
Mwisho hongera sana kwa ufahulu wako na nakutakia mafanikio mema katika llb yako.
Heslb sio elfu hamsini mkuu....
hivi sifa za kupata mkopo kwa m2 wa diploma ni zip ?