Ni sahihi mama mjamzito kutumia asali ?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Mimba ya week mbili i mean ndo inaanza, ni sawa mama mjamzito kula asali?

Asanteni kwa ushauri.
 
mimba ya week mbili i mean ndo inaanza !ni sawa mama mjamzito kula asali? asanteni kwa ushauri
Hongera sana mkuu, sidhani kama asali ina madhara lakini mwisho wa siku ukumbuke ni sugar and too much of anything is harmful.
 
Mimba ya week mbili i mean ndo inaanza.

Ni sawa mama mjamzito kula asali?

Asanteni kwa ushauri
 
Asali ni nzuri kwa sana kwa mama mjamzito coz ina virutubisho vingi kwa mwili ila sijaelewa unavyosema kula inamaana kula mpaka ushibe coz kila kitu ni kwa kiasi nadhani umenipata
 
mimba ya week mbili i mean ndo inaanza !ni sawa mama mjamzito kula asali? asanteni kwa ushauri
Yes miss... it is safe!! ni kwa sababu gut flora of any adult has ability to ward off botulism spore (from clostridium botulini) that are present in honey and make them harmless. Yaahh kwa sababu hizo spore zinakuwa tayari zimeshauliwa kwenye GI tract therefore haziwezi kupass kwenye blood stream na kama zitashindwa kupita kwenye blood stream mean kwamba hazitamfikia mtoto.
Ila miss asali haitakiwi kabisa kumpa mtoto under one year. Thatc wat i know.

MIND of kings.
 
asante kwa ushauri mkuu
 
Asali ni nzuri kwa sana kwa mama mjamzito coz ina virutubisho vingi kwa mwili ila sijaelewa unavyosema kula inamaana kula mpaka ushibe coz kila kitu ni kwa kiasi nadhani umenipata
asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…