kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kufanya shughuli za serikali wakati wa kampeni? Je, sheria inakubali au hakuna mwenye uthubutu kukemea?
Sheria inasemaje kuhusu ahadi ya ajira? Hii siyo rushwa ya UCHAGUZI? Tunavyofahamu ajira nimchakato wa kiutumishi na lazima ziwe kwenye bajeti iliyopitishwa na Bunge, je kabla Bunge alijapitisha bajeti unaahidi vipi ajira kwa wapiga kura?