kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Sheria zote amezibaka but mwache azindue maana ni kitu anachokipenda baada ya 28/10 hatakuwa na hiyo title ya uzinduzi tenaSheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kufanya shughuli za serikali wakati wa kampeni? Je, sheria inakubali au hakuna mwenye uthubutu kukemea?
Sheria inasemaje kuhusu ahadi ya ajira? Hii siyo rushwa ya UCHAGUZI? Tunavyofahamu ajira nimchakato wa kiutumishi na lazima ziwe kwenye bajeti iliyopitishwa na Bunge, je kabla Bunge alijapitisha bajeti unaahidi vipi ajira kwa wapiga kura?
Sasahivi hatuna mahakama wala niniSheria zote amezibaka but mwache azindue maana ni kitu anachokipenda baada ya 28/10 hatakuwa na hiyo title ya uzinduzi tena
CCM wapo juu ya sheriaSheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kufanya shughuli za serikali wakati wa kampeni? Je, sheria inakubali au hakuna mwenye uthubutu kukemea?
Sheria inasemaje kuhusu ahadi ya ajira? Hii siyo rushwa ya UCHAGUZI? Tunavyofahamu ajira nimchakato wa kiutumishi na lazima ziwe kwenye bajeti iliyopitishwa na Bunge, je kabla Bunge alijapitisha bajeti unaahidi vipi ajira kwa wapiga kura?
Hiyo hiyo reli ilishindwa kutumika kwa miaka Zaid ya 20 Ila chini ya uongozi wa Rais Magufuli imeanza kutumika kwahiyo yupo sahihi.Reli aliyojenga mkoloni Final magu kaizindia, Tanzania inasikitisha Sana sijui inchi nyingine wanatuchuliwa mabogas kiasi gani.
kumbe kwa miaka hiyo 20 Chadema ndio iliyokuwa madarakani.!?Hiyo hiyo reli ilishindwa kutumika kwa miaka Zaid ya 20 Ila chini ya uongozi wa Rais Magufuli imeanza kutumika kwahiyo yupo sahihi.
enheee tuliaa tuliaaa eeeh ,acha sindano iingiee vizuriii eeenhee,,safiiiiSheria za Tanzania zinasemaje kuhusu kufanya shughuli za serikali wakati wa kampeni? Je, sheria inakubali au hakuna mwenye uthubutu kukemea?