Ni sahihi miguu kuvimba kwa umri huu?

Ni sahihi miguu kuvimba kwa umri huu?

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,559
Habari wanajf,

Ningependa kufahamishwa ama kuelimishwa juu ya hili tatizo, mpenzi wangu ana ujauzito wenye umri wa miezi minne,sasa hivi amevimba miguu yote huku analalamika kuwa mwili mzima unamuuma.
Je hali hii ni kawaida ama si kawaida?
 
Akijifunguwa uvimbe utatoweka
 
probably oedema, mpeleke clinic acheki pressure, urinalysis....
 
Back
Top Bottom