Ningependa kufahamishwa ama kuelimishwa juu ya hili tatizo, mpenzi wangu ana ujauzito wenye umri wa miezi minne,sasa hivi amevimba miguu yote huku analalamika kuwa mwili mzima unamuuma.
Je hali hii ni kawaida ama si kawaida?