Kushushwa Cheo au demotion Ni kitendo halali kabisa Kwa muajiri kufanya Kama njia mojawapo ya kuhakikisha utendaji Bora, tija na nidhamu kazini
Lakini Ni muhimu kifuata utaratibu ambao Ni pamoja na kumjulisha mhusika Ni sababu gani zimepelekea hatua Hiyo na jitihada gani zilishafanyika Mpaka kufika hapo
Otherwise unaweza muuliza muajiri wako Kabla ya kuamua kumshitaki
Yawezekana Ni typing error tuu kwenye pay slip yako
Asante sana