Ni sahihi mwalimu kunyimwa likizo?

Ni sahihi mwalimu kunyimwa likizo?

saligongo

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
300
Reaction score
340
Hivi ni sahihi kwa mwalimu kuzuiwa kwenda likizo wakati huu wa likizo?
 
Yes kma sio kipindi chake cha likizo...huwa wanapewa awamu moja kwa mwaka mwez december na june...kma aliandika atachukua likizo ya june bas now hatakiwi kuwa nje ya kituo cha kazi but imekuwa kawaida kufunga na kuondoka kwan walengwa wao pia hawapo(wanafunz) unless otherwise awe na ruhusa....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ko kama hakuna shughuli za kishule zinazoendelea inakuaje hpo? hasa wale wa vjjni?
 
Hata kama shughuli za kishule hazipo kiutaratibu na sheria unatakiwa kuwepo kazini, sasa inategemeana na busara za mkuu wa shule.

Akikomaa uwepo shuleni unatakiwa ubaki usijifanye jeuri hapo unakuwa umetenda kosa na utahesabiwa kama mtoro kazini.
 
but 4m ya TSD inaeleza kwmb,mwalimu hatakuwepo shuleni endapo:
1.mgonjwa
2.kwenda kuuguza
3.kuomba ruhusa kwa 7b yyte ile ya msingi na
4.endapo hakuna shughuli zozote zinazoendelea ktk shule hyo
qns.je, km hakuna shughuli zinazoendlea iweje nibakie shuleni hpo wakati mwongozo upo bayana?
 
but 4m ya TSD inaeleza kwmb,mwalimu hatakuwepo shuleni endapo:
1.mgonjwa
2.kwenda kuuguza
3.kuomba ruhusa kwa 7b yyte ile ya msingi na
4.endapo hakuna shughuli zozote zinazoendelea ktk shule hyo
qns.je, km hakuna shughuli zinazoendlea iweje nibakie shuleni hpo wakati mwongozo upo bayana?

walimu ni watu wa kuonewa na kuoneana wenyewe kwa wenyewe hayo siyashangai
 
Mwalimu kama mtumishi mwingine wa serikali anatakiwa kuchukua likizo yake ya siku 28 mara moja kwa mwaka. Likizo ya mwalimu inachukuliwa kipindi ambacho shule zimefunga. Kama sio likizo yako ya mwaka na unataka kutoka nje ya mkoa unaofanyia kazi utajaza fomu ya ruhusa na utapewa siku walau 7 tu.

Zikifika 14 zitakatwa kwenye likizo yako ya mwaka. Hata kama wanafunzi hawapo shule mnamwachia nani? Mkuu wa Shule? Ikitokea dharura kama moto au ugeni wa ghafla nani atashughulikia? Kumbuka majukumu yako kama mwalimu ni zaidi ya kufundisha.
 
hpo ni kusepa tu ukiixhi km mtumwa hta mixhe zngne zitakupta....mwalimu jiongeze
 
Km hamna inshu we ondoka

Mie npo likzo siku nyingi toka form 4 walipofanya mtihani tukasepa
 
Back
Top Bottom