britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+
Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?
Tabia? Mwonekano? Au nini??
HakikaMambo ya kuuziwa gazeta jioni haya.
Sasa kama Diva Lovenes alikuwa anataka watoe maali ya milioni 100 na wakati malinda Hana. Nani ataoa mwanamke mpuuuziMara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+
Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?
Tabia? Mwonekano? Au nini??
Umri sahihi wa kuoa/kuolewa hakuna apangae ila watu wengi hufikiria kuoa/kuolewa na kupata watoto mapema ili waweze kuwalea wakiwa bado na nguvu! Sasa ukichelewa kuoa/kuolewa unaweza pata watoto ukiwa umeshajichokea! Raha ya watoto upate ukiwa ujanani!Mwamba kwani umri wa kuoa au kuolewa nani anaupanga?
Au niulize umri sahihi wa kuoa ni upi? Na mwisho wa kuolewa au kuoa ni umri gani?
Naunga mkono hoja28-32 ndio muda wa kuwa kwenye ndoa,chini ya hapo ndoa itakua na ugomvi kila siku as mko immatured,na mkioana Zaidi ya hio age group,itakua na matatizo as well sababu ni umri wa ku focus na career/income so kubalance family life na work inakua ngumu kidogo…..nilionaga mahali sijui kama niko right..
1. Tabia mbaya mtaaniMara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+
Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini?
Tabia? Mwonekano? Au nini??
[emoji86]Mbona mnatutisha[emoji46]
maana wengine ikiingia 2021 tuna 28 tunakia tushavuka mpaka[emoji22]