Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Huu mfano nimeupenda [emoji3] [emoji3] [emoji3]Asili ya wito ni lugha ya kiarabu. Mwnamke haitiki Rabeka. Neno lenyewe ni "Labbaika"
Ni mwitikio wa mwanaume. Ndio maana Waislam wakati wa kuowa (kuozeshwa) wanaitwa jina "GENTAMYCINE" naye GEnta anaitikia "Labbaika" kisha anaulizwa " Umekubali kumuowa Khantwe bint fulani. Bwana Genta anasema ndio nimekubali.....
Kwa Waswahili wa Pwani hakuna mwanamke anaitika Labbaika.
Sent using Jamii Forums mobile app