Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

Ndio siasa za ki komunisti zinataka hivyo. Ni ngumu kukuta hizi praise n worship kwenye siasa za ki liaerali
 
Kuhusu kauli ya mtoto wa Lowassa nadhani alikuwa sahihi. Inawezekana SSH personally alijitoa kuhakikisha Lowassa anapewa huduma stahiki kwa wakati!

Lakini inafikirisha sana kuona picha ya SSH ikitumika kwenye mabango yaliyotandazwa kwenye shughuli ambazo hata yeye hayupo!
Inafikirisha zaidi SSH kutajwa kwenye masuala ya maendeleo kwa fedha za mlipa kodi.
Na ujinga huu umeshika kasi kuanzia JPM alivoingia Ikulu!
 
Upo sahihi...
Lakini zaidi ya UGONJWA kwa sasa ujinga huo unawalipa vizuri sana wanaoufanya!
Watu wanaseminishwa kabisa jinsi ya kusifia! Na mafungu yanatolewa!
 
Akishambuliwa mno a hulalamiki?
 
Haya mambo ni matakwa ya mtukuzwaji,angekuwa makini angekataa.
 

Namshukuru mheshimiwa rais
 
Hii ni Tanzania tu, huwezi ikuta Rwanda, wala Burundi wala Kenya wala Congo, Tanzania ili usurvive lazima ujipendekeze na ujikombe
 
Tuige majirani zetu, hawana mda wa kuwatajataja viongozi wao. Wanajibu na kuongea tu kinachotakiwa, kwao kutaja watu ni kupoteza mda.
...ni kama ule upuuzi wa kutambua kila mgeni mualikwa kwenye DHIFA, address wakubwa wawili,wengine sema ITIFAKI imezingatiwa,mwaga MAMBO..sio porojo porojo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…