Ni sahihi shule kuchangisha pesa ya ujenzi wa majengo ya shule?

Ni sahihi shule kuchangisha pesa ya ujenzi wa majengo ya shule?

sakuli kandi tz

New Member
Joined
Jan 14, 2025
Posts
3
Reaction score
2
Habari za leo, kuna jambo linanitatiza sana. Kuna shule ya Msingi huko Mkoani Ruvuma wilaya ya Mbinga wanachangisha michango ya ujenzi wa jengo la shule kwa kaya moja (1)inatakiwa watoe kiasi cha 30,000.Hii imekaaje
 
Back
Top Bottom