sakuli kandi tz New Member Joined Jan 14, 2025 Posts 3 Reaction score 2 Jan 19, 2025 #1 Habari za leo, kuna jambo linanitatiza sana. Kuna shule ya Msingi huko Mkoani Ruvuma wilaya ya Mbinga wanachangisha michango ya ujenzi wa jengo la shule kwa kaya moja (1)inatakiwa watoe kiasi cha 30,000.Hii imekaaje
Habari za leo, kuna jambo linanitatiza sana. Kuna shule ya Msingi huko Mkoani Ruvuma wilaya ya Mbinga wanachangisha michango ya ujenzi wa jengo la shule kwa kaya moja (1)inatakiwa watoe kiasi cha 30,000.Hii imekaaje