Mathematician
JF-Expert Member
- Nov 8, 2009
- 327
- 109
Habarini great thinkers,
Ninahitaji line tajwa lakini kama mjuavyo urasimu uliopo kwenye mchakato mzima wa kuzipata kutoka kwenye makampuni ya simu nimefikiria kuzinunua kwa mtu aliyetumia na sasa ameamua kuziuza. Je ni salama kufanya hivi na ni zipi athari zake.
Natanguliza shukrani....
ndugu hawa services provider hawataki kabisa kusikia kitu hicho, wao wanataka ukishindwa kufanya biashara warudiashie wao ndio waiuze tena!!! mi nilisha wafuata wakaasema hivyo ila badaye wanakufuata kama unataka wanazo ni laki 3, kwa voda!! ila ukimpaata mtu ambaye ni mwaminifu mnauziana tu mi, mnaandikiana kama kijimkataba kidogo cha muuzaji kukili kuwa amekuuzia na copy ya kitambulisho chake.ili hata kesho asije akasema imeibiwa.Mi mbona natumia tu yenye jina la mtu na wengi tu wanatumia.Vitu vingi ambavyo ni used vina shida zake japokuwa sio vyote !!!!!!!!!!!!! Huyo anayekuuzia lazima awe mwaminifu sana kwako ili kukupa detail zote za hizo line. Kabla ya kununua check na service provider ili uone anasemaje.
ahsante kwa ufafanuziVitu vingi ambavyo ni used vina shida zake japokuwa sio vyote !!!!!!!!!!!!! Huyo anayekuuzia lazima awe mwaminifu sana kwako ili kukupa detail zote za hizo line. Kabla ya kununua check na service provider ili uone anasemaje.
Nitazingatia ushauri wako na wa Malila. Nitawauliza service provider kwanza.ndugu hawa services provider hawataki kabisa kusikia kitu hicho, wao wanataka ukishindwa kufanya biashara warudiashie wao ndio waiuze tena!!! mi nilisha wafuata wakaasema hivyo ila badaye wanakufuata kama unataka wanazo ni laki 3, kwa voda!! ila ukimpaata mtu ambaye ni mwaminifu mnauziana tu mi, mnaandikiana kama kijimkataba kidogo cha muuzaji kukili kuwa amekuuzia na copy ya kitambulisho chake.ili hata kesho asije akasema imeibiwa.Mi mbona natumia tu yenye jina la mtu na wengi tu wanatumia.
ndugu hawa services provider hawataki kabisa kusikia kitu hicho, wao wanataka ukishindwa kufanya biashara warudiashie wao ndio waiuze tena!!! mi nilisha wafuata wakaasema hivyo ila badaye wanakufuata kama unataka wanazo ni laki 3, kwa voda!! ila ukimpaata mtu ambaye ni mwaminifu mnauziana tu mi, mnaandikiana kama kijimkataba kidogo cha muuzaji kukili kuwa amekuuzia na copy ya kitambulisho chake.ili hata kesho asije akasema imeibiwa.Mi mbona natumia tu yenye jina la mtu na wengi tu wanatumia.
Nitazingatia ushauri wako na wa Malila. Nitawauliza service provider kwanza.
ndugu hawa services provider hawataki kabisa kusikia kitu hicho, wao wanataka ukishindwa kufanya biashara warudiashie wao ndio waiuze tena!!! mi nilisha wafuata wakaasema hivyo ila badaye wanakufuata kama unataka wanazo ni laki 3, kwa voda!! ila ukimpaata mtu ambaye ni mwaminifu mnauziana tu mi, mnaandikiana kama kijimkataba kidogo cha muuzaji kukili kuwa amekuuzia na copy ya kitambulisho chake.ili hata kesho asije akasema imeibiwa.Mi mbona natumia tu yenye jina la mtu na wengi tu wanatumia.
uzoefu upi?? kwani nimeinunua na ninaitumia mwenyewe,Haya yote yanatokana na ukiritimba uliopo kwenye haya makampuni kulingana na demand iliyopo,mfano kwa airtel unaweza ukapata hiyo line kwa njia ya kawaida tu kwani kwao demand siyo ki vile,tatizo lipo voda na hasa kwenye tigo ukienda ofisini tena makao makuu wanakwambia tulishasimamisha utoaji huo!!! ila ukitoka ofisini anakuja yule yule kukwambia kama una laki 5,inapatikana,tena sio ya jina lako ukitaka wakubadilishie jina unaongeza elfu 50,Naa ndio maana watu baada ya kugundua hilo mtu akishindwa biashara tu ana tafuta mtu anamuuzia,kwani haiingii akilini mi nimetoa laki 6 kuipata kesho niwarudishie wao tena waiuze,kama zingekuwa zinapztikana bure kama zamani wakati wanaanza pasingekuwa na shida.KUHUSU kubadilisha jina ni we mwenyewe tu ukiamua na una hela yako ni siku moja tu.Hakuna anayependa kuchepuka ukiona hivyo jua kuna sababu ya msingi.Je utaendelea kutumia jina la mwingine hata lini? Siku ukiambiwa toa uzoefu wako wa hii biashara, utatumia jina lako au la huyo mwenye hiyo line? Jitahidi utafute line yako, short cut sio nzuri sana.
uzoefu upi?? kwani nimeinunua na ninaitumia mwenyewe,Haya yote yanatokana na ukiritimba uliopo kwenye haya makampuni kulingana na demand iliyopo,mfano kwa airtel unaweza ukapata hiyo line kwa njia ya kawaida tu kwani kwao demand siyo ki vile,tatizo lipo voda na hasa kwenye tigo ukienda ofisini tena makao makuu wanakwambia tulishasimamisha utoaji huo!!! ila ukitoka ofisini anakuja yule yule kukwambia kama una laki 5,inapatikana,tena sio ya jina lako ukitaka wakubadilishie jina unaongeza elfu 50,Naa ndio maana watu baada ya kugundua hilo mtu akishindwa biashara tu ana tafuta mtu anamuuzia,kwani haiingii akilini mi nimetoa laki 6 kuipata kesho niwarudishie wao tena waiuze,kama zingekuwa zinapztikana bure kama zamani wakati wanaanza pasingekuwa na shida.KUHUSU kubadilisha jina ni we mwenyewe tu ukiamua na una hela yako ni siku moja tu.Hakuna anayependa kuchepuka ukiona hivyo jua kuna sababu ya msingi.