Ni salama kuwekeza Tanzania?

nyabaheta

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
247
Reaction score
82
Hiv karibuni kumekua na chokochoko za kidini,na we all know chokochoko hizo huishia kwenye violence,wameanza kuchoma makanisa,next tutasikia kijana kajilipua mlimani city,kariakoo au uchumi.Swali langu kwa watabiri wa haya mambo ya uchumi na wazoefu katika nchi zenye machafuko ni salama kuendelea kufanya biashara Tanzania au tuhamie nchi jirani?
 
ww ni mzaliwa au mhamiaji
 
Kwani wewe kama mtanzania unaona ni salama ama sio salama. Naka wewe ni mgeni unaiona Tanzania na vuguvugu la mageuzi kama ni nchi ya kwanza duniani kutaka mageuzi
 

Jibu li wazi investors wataondoka.

Nadhani issue ya kujadili hapa ni hii, kwamba tumefika-fikaje hapa?
Je tumekosa watu katika leadership zetu wenye imagination kutazamia matatizo tuliyo nayo?
What is the immediate remedy? What is the long term solution?
 
Tanzania ina amani sana kama huamini toka BONGO utembeee tembee nje ndio utajua ... haya mambo ya choko choko yapo kila mahali na hata hapa Tanzania hayajaanza leo....
 
Tanzania ina amani sana kama huamini toka BONGO utembeee tembee nje ndio utajua ... haya mambo ya choko choko yapo kila mahali na hata hapa Tanzania hayajaanza leo....

Mi naona kama vile hili ni wishfull thinking.
 
Kama wanaendelea kuwekeza Nigeria watakatishwa tamaa na nini? Naamini baadaye tutapata jinsi ya kuwashughulikia hawa wehu wanaoshabikia ugaidi. Kenya wanawaondoa kimya kimya. Wachochezi kama Abdul Rogo sasa ni historia. Kuna mpuuuzi mmoja anaitwa Ilunga Kapunga anayeonekana kuwa kibaraka na anayemwigiza Rogo hata kuguna anachochea upuuzi asijue zake zahesabiwa.
 
Kama wanaendelea kuwekeza Nigeria watakatishwa tamaa na nini? Naamini baadaye tutapata jinsi ya kuwashughulikia hawa wehu wanaoshabikia ugaidi. Kenya wanawaondoa kimya kimya. Wachochezi kama Abdul Rogo sasa ni historia. Kuna mpuuuzi mmoja anaitwa Ilunga Kapungu anayeonekana kuwa kibaraka na anayemwigiza Rogo hata kuguna anachochea upuuzi asijue zake zahesabiwa.
 
Investa investa investa hivi kwa nini wasiondoke na hizo sehemu wakabidhiwe wazawa waone tutakavochapa kazi.What is investa by the way if they are coming all the way from wherever they are coming without any capital na wanapata capital hapahapa na zaidi wanaondoka pia na faida.Mimi kwa upande wangu I really hate the so called investa maana kwa kifupi wanatuuibia tu basi, bora waione ni nchi isiyo salama bhaaaaaaaaasi
 

Mpendwa hii ni case mistaken identity. Uongozi uliowapokea investors hapa Tanzania umewafanya watambuliwe vibaya na jamii. Wewe ni miongoni mwa wengi wanaowaona investor kama tatizo, lakini hii ni kutokana na vile walivyoingizwa, walivyotambulishwa na kutambulika katika mazingira waliyoyakuta hapa.

Canada na Uingereza vinajengwa na Wahindi; haohao investors ambao wewe unasema huwataki. Afrika ya Kusini imejengwa na investors kutoka sehemu mbalimbali kama vile Marekani, Uingereza au hata Israel, kama taarifa nilizo nazo ni sahihi.

Investors wakitumiwa vizuri wanaongeza ajira katika nchi, wanaingiza teknolojia mpya katika nchi, wanakuza kipato cha Taifa, lakini unahitaji serikali makini kuwaingiza, kuwaongoza, kuwalinda na kuwatawala. Ukiwa na serikali dhaifu, serikali manipulable, serikali yenye watu wenye IQ za kuku linazuka tatizo.

Soma Historia ya Visiwa vya Hawaii ndipo utatambua kuwa huwa kunakuwapo upande wa kisiasa wa Investors ambao unahitaji serikali makini kunusuru interest za taifa. La sivyo Investors wanaweza kuwa tatizo hata la kusababisha kupoteza utaifa.

Kwa hiyo nilitaka nisema usihukumu investors kama watu wabaya kihivyo kwa sababu kiuchumi ni watu wazuri. Chunguza umakini wa SErikali yako kuona kama wanao uwezo wa kufanya investors wawe tija kwa taifa kama ilivyo katika nchi nilizozitaja. So tatizo linaweza kuwa wewe na serikali yako na siyo investors !
 
Kwani wewe kama mtanzania unaona ni salama ama sio salama. Naka wewe ni mgeni unaiona Tanzania na vuguvugu la mageuzi kama ni nchi ya kwanza duniani kutaka mageuzi

Sijui kama umeelewa thread,na sijui unaongelea mageuzi yapi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Wanasiasa ndo wametufikisha hapa,suala la remedy na longterm soln la kujadili,lakini Tanzania ipo hatarini,kwa upande wa biashara,ndo maana nikaweka hii thread kwenye hili jukwaa hili.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Si salama utaambiwa njoo na treatment ya mavi
Sewage hatuna na sio kazi ya serikali
Unakumbuka Double tree hotel? Si mambo ndio hayo
Kuhusu maandamano ya kina ponda hamna shida wao ugomvi wao ni serikali na uamsho wote wapo ndani na wakitoka hawaishi tena muda mrefu wameshughulikiwa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wanasiasa ndo wametufikisha hapa,suala la remedy na longterm soln la kujadili,lakini Tanzania ipo hatarini,kwa upande wa biashara,ndo maana nikaweka hii thread kwenye hili jukwaa hili.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums



Wengi tunaliona hili mkuu, ambalo pia ni hakikisho la tatizo kubwa zaidi. Sidhani kama wanasiasa waliopo wanajua kama wao ni tatizo katika chase board ya investments katika taifa letu. Na ni kutokujua huku ambako kunaweza kuzusha machafuko. Nina hashaka sana juu ya hatima ya nchi yetu. Hawa wanasiasa tayari wana utajiri haramu ambao wanaweza kuutumia kujilinda kwa kulipa marcinaries wa ndani na nje. We have a problem--na problem yenyewe siyo investors; ni hawa ndugu zetu wenyewe walio katika madaraka.
 
Hakuna tabu ila uje na treatment plant yako sewage hatuna wala hatujengi ngoo
Si unakumbuka tumeifungia Double tree ? Kama hutaki usije kuwekeza

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

sehemu zipi unataka ukabidhiwe mzawa? Mbona tz bado kuna opportunities nyingi tu za wewe kuinvest (kama una macho mawili huwezi kuona).
Mzawa ukilala hakuna atakae kuamsha.
 
sehemu zipi unataka ukabidhiwe mzawa? Mbona tz bado kuna opportunities nyingi tu za wewe kuinvest (kama una macho mawili huwezi kuona).
Mzawa ukilala hakuna atakae kuamsha.

Kijana wa kibongo anataka JK amfuate ampe kiwanda.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…