Ni salama kwa mama mjamzito wa mwezi mmoja kusafiri umbali mrefu kwa kutumia Bus?

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Habari wanajamvi??

straight to the point, she is one month pregnant now, is it safe for her to travel by bus lets say from Dar to Moshi ( to and fro )?

Note: Hatujaanza bado clinic, but by mwezi wa pili ikitimiza mimba ndo tunataraji anza. ( Flight is not an option currently due to econiomic factors:wink🙂

Ushauri kwa wenye ujuzi katika sector hii ya wanawake...
 
Mkuu kama hana complications zingine, 1 month pregnancy sio tatizo
 
Inaonekana utamdekeza sana....

hahahaha, mdau , kuishi na mwanamke kunahitaji akili ya ziada, kumdekeza ipo lakini inukua una monitor nyakati,
hakuna mwanmke anayependa mwanaume bahili wala asiyejua kudekeza at some point.
ila thanks nta balance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…