Huwezi kumaliza siku bila kuiwazisha akili yako siasa?Matumizi mazuri ni yepi au ni kufuata muongozo wa chama?
Kuna aliyesema kumiliki chainsaw ni kosa la jinai. Mambo haya unayafanya shambai kwako. Unakata mti mmoja tu na matawi yanakua kuni. Shina linatengeneza furniture. Unaweza kukata mti mmoja kila baada ya miezi sita lakini unapanda mitano kila mwezi.Zinapendeza ila kumbukeni kupanda miti🚶🚶
Mnataka Sayari Dunia iwe kama Venus na Mars!???Kuna aliyesema kumiliki chainsaw ni kosa la jinai. Mambo haya unayafanya shambai kwako. Unakata mti mmoja tu na matawi yanakua kuni. Shina linatengeneza furniture. Unaweza kukata mti mmoja kila baada ya miezi sita lakini unapanda mitano kila mwezi.
Lkn inawezekana ikawa ni plastikKuna aliyesema kumiliki chainsaw ni kosa la jinai. Mambo haya unayafanya shambai kwako. Unakata mti mmoja tu na matawi yanakua kuni. Shina linatengeneza furniture. Unaweza kukata mti mmoja kila baada ya miezi sita lakini unapanda mitano kila mwezi.