kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Kwa nini umesema mtoto Wa kishua? Ni Wa kawaida tu alikuwa anaishi hapo k.ndoni block 41.baada ya umisi na ku act movie mbili tatu akajiendeleza kielimu akapata kazi benkiYule Alieonekana kama mdada mtoto wa kishua ndio huyo huyo alieimba anaitwa Nagis Mohamed aliwahi kushiriki filamu ya kanumba inaitwa Magic House. Ila huyo mdada aliwahi Pia kushiriki mashindano makubwa ya urembo nchin
Hujaelewa kilichoandikwaKwa nini umesema mtoto Wa kishua? Ni Wa kawaida tu alikuwa anaishi hapo k.ndoni block 41.baada ya umisi na ku act movie mbili tatu akajiendeleza kielimu akapata kazi benki
Kajala huyu huyuAlikuwa kajala masanja
Sina iman kama huyu ndo ali rap kile kipande
KhaaaaSauti ya SHUNIE hiyo
Bora umeitoa ile avatarNi huyo huyo Nargis
Demu wa punk majaniiiAnaitwa Munira Hussein,Mwanafunzi wa Mwalimu Busyanya kwa sie tuliosoma shule ya Forodhani