Ni sauti ya mdada gani ambayo huwa anasikika kwenye wimbo wa zali la mentali wa prof jay

Umepatia,mkuu
Forodhani ile ilikua na watoto balaa,
Jack babu,Muna,Maya ,Sharon, zainabu,asee

Enzi hizo inaitwa shule ya Mabishoo na ma sista duh!Zainab alikuwa moto wa kuotea mbali!!!
 
Hatari sana
Alikuwa Pauline Zongu,sijui kwa sasa atakuwa wapi huyu mtoto...??

Lkn kwenye Shooting alimtumia Nagzri Mohammed kutokana na uzuri wa kuvitia aliokuwa nao.

Kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa,baada ya Pro J kumtumia Nagzri Mohammed kwenye shooting kilileta mtafaruku baina yake na Pauline Zongu,maana sauti ilikuwa na Pauline Zongu lkn shooting anaonekana Nagzri Mohammed.

Ni hayo kama kumbukumbu zangu zitakuwa sawa.
 
Kwa nini umesema mtoto Wa kishua? Ni Wa kawaida tu alikuwa anaishi hapo k.ndoni block 41.baada ya umisi na ku act movie mbili tatu akajiendeleza kielimu akapata kazi benki
Nagris tulisoma naye chuo. Nilikuwa nampenda sana huyu dada ila sasa kwa bumu la sh 2,500 kwa siku ningemuanza veepe!
 

haahahaha!!Nimecheka kwa Sauti!Ila ukweli ni kwamba hakuwa Polline
 
haahahaha!!Nimecheka kwa Sauti!Ila ukweli ni kwamba hakuwa Polline
Mkuu ndio maana nikasema kama kumbukumbu zangu zitakuwa vizuri..!!!

Kuliko kucheka kwa sauti kama boya ni bora ukaja na jibu maana humu tupo kukumbushana sio kucheka kama kiboya...,
 
Mkuu ndio maana nikasema kama kumbukumbu zangu zitakuwa vizuri..!!!

Kuliko kucheka kwa sauti kama boya ni bora ukaja na jibu maana humu tupo kukumbushana sio kucheka kama kiboya...,

Kukosea kwako ndio unapanic!Usimind Brother
 
Oh naitwa Jay ukiniita fukara haukosei na nnaishi kwa kwa nguvu ya...., siku zenyewe hazisogei
Alishuka garini na kusema jay nakupenda,
Anaruka kwngu mdomoni kuanza kupata denda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…