Wana jf habar zenu natumai mmeamka salama,
Jaman me nilianza period tarehe1 mwezi huu nikaenda siku 4 around tarehe13,15 na 16 i had sex tarehe17 nikameza dawa za malaria.
Sasa jana trh 20 ghafla nikaanza period,nimestuka sana kwasababu haijawahi nitokea katikati ya tarehe kama hivyo.
Tafadhali naombeni msaada wenu, na je kwa tarehe hiyo ovulation itakuwa kuanzia tarehe ngap?
Nina tatizo au sawa?